More details

CCT kupitia mradi wa Lishe endelevu wameshiriki kwenye maadhimisho ya mbio za Mwenge

CCT kupitia mradi wa Lishe endelevu wameshiriki kwenye maadhimisho ya mbio za Mwenge ambao unapokelewa leo tar28/07/2021 katika viwanja vya shule ya Msingi Ipagala Dodoma. Lengo la mradi ni kuelimisha jamii juu ya lishe bora hasa kwa wanawake walio katika umri wa kujifungua na wenye watoto chini ya miaka miwili ili kuondokana na udumavu.