More details

CCT yashiriki Mkutano ulioandaliwa na Wizara ya afya na viongozi wengine wa dini juu ya utekelezaji wa dawa kinga(PrEP) ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI.

CCT yashiriki Mkutano ulioandaliwa na Wizara ya afya na viongozi wengine wa dini juu ya utekelezaji wa dawa kinga(PrEP) ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI. Picha ya pamoja kati ya watumishi wa CCT na Naibu Waziri wa Afya, Katibu mkuu wizara ya Afya na Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es salaam na viongozi wengine