More details

namna ya kuendelea kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya CORONA.

Viongozi wa Dini mbalimbali Mkoa wa Dodoma wametoa elimu kwa njia ya redio (Dodoma FM) namna ya kuendelea kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya CORONA. Elimu hiyo imehusisha sana namna ambavyo wanajamii wanashauriwa kuzingatia katika kupunguza au kutokomeza kabisa maambukizi ya virusi hivyo. Wamehimiza waumini kuendelea kuchukua taratibu zote zinazotolewa na wataalamu wa Afya pamoja na kuendele kumwomba mwenyezi Mungu. Elimu hiyo imeratibiwa na CCT kupitia Idara y Afya Makao makuu Dodoma