More details

Ibada ya kuwekwa wakfu Baba Askofu Jackson Mushendwa

Ibada ya kuwekwa wakfu Baba Askofu Jackson Mushendwa na uzinduzi wa Dayosisi mpya ya KKKT Dayosisi na Magharibi (Kigoma) leo tar 09.10.2022. Katibu Mkuu wa CCT Mchg. Canon Dkt. Moses Matonya ameshiriki Ibada hii.