More details

Ibada ya kumwekwa wakfu na kumsimika Askofu Mchg. Dkt. Syprian Yohana Hintili

Ibada ya kumwekwa wakfu na kumsimika Askofu Mchg. Dkt. Syprian Yohana Hintili na kumsimika msaidizi wa Askofu Dkt. Zephania Shila Nkesela, Tarehe 30 Oktoba, 2022. Ibada hiyo imefanyika katika kanisa kuu la Uaskofu Imanuel KKKT Singida siku ya Leo ambayo pia ni siku ya maadhimisho ya Matengenezo ya kanisa. Katibu mkuu wa CCT Mchg. Canon Dr. Moses Matonya akiongozana na watumishi wachache kutoka CCT walihudhuria ibada hiyo.