More details

Elimu ya kujikinga na magonjwa hatari ya mlipuko

Elimu ya kujikinga na magonjwa hatari ya mlipuko ikiwemo Ebola na Uviko 19. Hapa ni viongozi toka Makanisa ya Kikristo ndani ya Studio za Clouds FM wakieleza namna ambavyo tamasha hilo litatikisa Jiji. Tamasha hilo linaanza Saa nane mchana. Kwaya mbalimbali toka Makanisa yote ya Kikristo zitakuwepo, Usipange kukosa