More details

Mkakati wa Ujenzi wa Nyumba ya Mchungaji

Katibu Mkuu Jumuiya ya Kikristo Tanzania Rev. Canon Dkt Moses Matonya akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya Mchungaji kanisa la Anglikana Wilayani Kongwa. Katika hatua ziara hiyo Mchungaji ameshauri kuongezwa kwa jengo hilo. Ameshauri viongezwe vyumba viwili kwa ajili ya wageni ambapo amechangia kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya ununuzi wa tofali.