More details

Maadhimisho ya siku ya maombi ya wanawake duniani

Hivi ndivyo wanawake kutoka Makanisa wanachama CCT jijini Dodoma walivyoshiriki maadhimisho ya siku ya maombi ya wanawake duniani tarehe 3 Machi 2023. Maadhimisho yaliambatana na maandamano ambayo yaianzia Kanisa Kuu la Anglikana. NENO KUU “NIMESIKIA KUHUSU IMANI YENU” WAEFESO 1:15