More details

Mkutano Mkuu wa 10 wa CCT-USCF Taifa

Picha ya pamoja baada ya Mkutano Mkuu wa 10 wa CCT-USCF Taifa ambao ulianza tarehe 6 na kuhitimishwa tare 9 Aprili 2023 Mkoani Morogoro. Mkutano huo uliwahusisha vijana zaidi ya elfu moja kutoka vyuo mbalimbali Tanzania. Baadhi ya washiriki katika picha ni Katibu Mkuu wa CCT Mchg Canon Dkt Moses Matonya, Askofu Mlezi wa USCF TAIFA Mchg. Kenani Panja, Mratibu wa USCF TAIFA Mchg. David Kalinga, Walezi wa USCF matawi na viongozi wastaafu wa kamati kuu ya CCT-USCF Taifa.