More details

ibada ya jumapili katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kisas

ibada ya jumapili leo tar 16 Aprili 2023 katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kisasa. Ibada imehudhuriwa na watumishi wa CCT. Katika ibada ya Leo Mhubiri alikuwa Katibu Mkuu CCT Rev Canon Dkt. Moses Matonya. Baada ya Kristo Kufufuka, tunashinda na zaidi ya kushinda