More details

IBADA YA UKWATA TAIFA JUNE 2023

Picha ya pamoja katika ibada ya kufunga Mkutano Mkuu wa 57 UKWATA TAIFA Jijini Mbeya Juni 2023. Ibada Ilioongozwa na Baba Askofu Nguvumali wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa.