More details

Mkutano wa 57 wa Halmashauri Kuu ya CCT 5-6 JUNI 2023

Mkutano wa 57 wa Halmashauri Kuu ya CCT ambao unafanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mafunzo ya Wanawake Morogoro CCT – MWTC Mkutano umehudhuriwa na Wakuu wa Makanisa 12 wanachama wa CCT, Vyama shirikishi 12, Maaskofu kutoka Dayosisi/Jimbo chini ya Makanisa wanachama wa CCT, wadau mbalimbali kama UNICEF, TIP, NCA , Shirika la Haki za binadamu ( LHRC) na Idara ya Kilimo ya Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUGECO) Neno Kuu: "Kuujenga Umoja wa Kanisa katika msingi wa Yesu Kristo -1Kor 3: 10 -12 Mkutano utaendelea tena kesho kwa agenda mbalimbali