More details

USIOGOPE KUANZA UPYA UNAPOKUTANA NA MAGUMU

Leo CCT Dodoma tumetembelewa na kupata huduma ya neno la Mungu (Ibada ya asubuhi) kutoka kwa Captain James Ndera wa Kanisa la Jeshi la Wokovu Jijini Dodoma. Katika ibada hiyo aliambatana na watumishi wa kanisa hilo akiwemo Capt: Prista Ndera Yapo magumu unayokutana nayo katika maisha yako , Mungu anataka uanze upya kupitia magumu hayo. USIOGOPE KUANZA UPYA UNAPOKUTANA NA MAGUMU Isaya 43:18-19 Kutoka 4:1,10-13