More details

Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Jeshi la wokovu Dodoma

Watumishi wa CCT Makao Makuu waliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Jeshi la wokovu Dodoma. Katika ibada hiyo pia ilifanyika harambee fupi ya kuchangia ujenzi wa Kanisa unaoendelea, Captain James Ndera wa kanisa hilo ameushukuru uongozi wa CCT kwa kushirikiana pamoja katika ibada hiyo.