More details

Maadhimisho ya CCT DAY Kitaifa Tar 29 Mei 2022

Maadhimisho ya CCT DAY ambapo Kitaifa Ibada yamefanyika KKKT Usharika wa Moshi Mjini Tar 29 Mei 222. Mwenyeji ni Mwenyekiti wa CCT Taifa Baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo