More details

Ibada maalumu kwa ajili ya siku ya wajane kikanisa Duniani Tar 19 Juni 2022

Ibada maalumu kwa ajili ya siku ya wajane na wagane kikanisa Duniani. Ibada imefanyika kuanzia saa nane mchana katika kanisa la KKKT Jijini Dodoma. Mgeni rasmi akiwa ni Askofu kutoka Kanisa la Baptist Dodoma Emanuel Mwakandulu. Wageni wengine ni mwenyekiti wa CCT Mkoa wa Dodoma Askofu wa KMT Joseph Mtolela . Ujumbe Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu Zab 68:5